Waholanzi Nooj na Pluijm walipokutana karume.
Makocha wawili Waholanzi, Hans van der Pluijm wa Yanga na Mart Nooij wa Taifa Stars jana walikutana na
kubadilishana mawazo hadharani.
kubadilishana mawazo hadharani.
Wawili hao walikutana wakati timu zao zikifanya mazoezi kujiandaa na michuano ya kimataifa.
Kikosi cha Taifa Stars, kimeendelea kujifua kwa ajili ya mechi zake za kuwania kucheza Chan.
Yanga ndiyo walianza, Stars wakawasili na Waholanzi hao wakapata nafasi angalau ya kubadilishana mawazo.
Waholanzi Nooj na Pluijm walipokutana karume.
Reviewed by Steve
on
Thursday, June 18, 2015
Rating: