Propellerads

Hatimaye kimeeleweka cheki picha.....Barca mabingwa mara ya tano.

Mabao ya Raktic katika kipindi cha kwanza, Luis Suarez na Neymar katika kipindi cha pili yameiwezesha Barcelona kuibuka mabingwa wa Ulaya kwa kuichapa
Juventus bao 3-1.


Bao pekee la Moratta halikuweza kuiokoa Juventus iliyocheza mpira wa ushindani na kuipa Barcelona ushindani mkubwa.

Fainali hiyo kwenye Uwanja wa Berlin, Ujerumani, ilikuwa ni ya kuvutia, ya ushindani na kivutio kikubwa.




















Hatimaye kimeeleweka cheki picha.....Barca mabingwa mara ya tano. Hatimaye kimeeleweka cheki picha.....Barca mabingwa mara ya tano. Reviewed by Steve on Sunday, June 07, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.