Propellerads

Evra hana bahati na UEFA, unajua kwanini....ingia hapa




Wakati tukielekea kushuhudia kipute cha fainali ya ligi ya mabingwa ulaya usiku wa leo kati ya Juventus dhidi ya Barcelona, mlinzi wa
Juventus Patrice Evra leo anaweza kuweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kukosa ubingwa mara nne wa fainali ya uefa baada ya hapo awali kukosa kubeba ubingwa akiwa na timu za Monaco (2004) na Manchester United mwaka (2009-2011)
Evra hana bahati na UEFA, unajua kwanini....ingia hapa Evra hana bahati na UEFA, unajua kwanini....ingia hapa Reviewed by Steve on Saturday, June 06, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.