Propellerads

Di Maria atangaza mipango yake msimu ujao.




Aliyekua nyota wa Real madrid, Angel Di Maria ametangaza mipango yake msimu ujao baada ya kuisha kwa msimu huu ambao
ulikua mgumu kwake akiwa na Manchester United.

Soma: Nini kinafuata kwa Di Maria??

Mkali huyo kutoka Argentina amefunguka kua amepeta shida sana kuzoea maisha ya England, lakini ameahidi kubakia Old Traford na pia kufanya makubwa katika michuano ya Copa America akiwa na timu yake ya taifa.

"Nimemaliza msimu wangu wa kwanza nikiichezea Manchester United" aliiambia The Sun.

"Ulikua ni msimu mgumu kwangu.

"Nadhani ulikua mgumu kwa sababu ni nchi nyingine na nchi nyingine. Hii ligi ni ngumu kuliko ya Hispania

"Kwa hiyo nataka kuzoea kwanza.

"Kwa sasa nitacheza Copa America, halafu nitarudi tena Manchester Uniten na nitafanya makubwa."

Di maria amekua akihusishwa kuwaniwa na Paris saint Germain na Bayern Munich.
Di Maria atangaza mipango yake msimu ujao. Di Maria atangaza mipango yake msimu ujao. Reviewed by Steve on Friday, June 05, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.