Propellerads

Aguero na Di Maria walivyoiadhibu Bolivia bila uwepo wa Messi, Cheki hapa




Kutokuwepo kwa Lionel Messi, Carlos Tevez na Javier Mascherlano hakukuathiri maandalizi ya timu yao ya
taifa kwa ajili ya Copa America, kwani waliwatungua Bolivia 5-0 hapo jana Jumamosi jioni.

Angel Di Maria ndiye aliyefungua karamu ya magoli kwa Argentina kabla ya Aguero kutupia mawili hivyo kipindi cha pili kumalizika kwa Argentina kuongoza magoli 3-0.

Aguero alipiga hat-trick baada ya kufunga goli la tatu kwa penalt katika kipindi cha pili, huku Di Maria akimaliza kwa kutupia goli lake la pili hivyo mechi kuisha 5-0.

Matokeo mengine ni
Uruguay 5-1 Guatemala.

Paraguay 2-2 Honduras
Aguero na Di Maria walivyoiadhibu Bolivia bila uwepo wa Messi, Cheki hapa Aguero na Di Maria walivyoiadhibu Bolivia bila uwepo wa Messi, Cheki hapa               Reviewed by Steve on Sunday, June 07, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.