Yaya Toure asimamishwa na polisi...kisa!!
Kiungo wa klabu ya
Manchester City Yaya Toure ’32’ ameripotiwa kusimamishwa na askari wa
barabarani kwa kosa la
kuzidisha mwendo na kuwajibu kuwa klabu yake
itashughulikia tatizo hilo.
Staa huyu wa Premier League alisimamishwa
akiwa anaendesha gari yake ya kifahari aina ya Porshe 911 yenye thamani
ya Paundi 120,000. Toure anatengeneza kiasi cha pesa Paundi 210,000 kwa
wiki na amekuwa akifukuziwa na Inter Milan.
Hii ndio gari anayopenda kutumia zaidi akiwa kwenye mishe za kila siku.
Yaya Toure asimamishwa na polisi...kisa!!
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 24, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 24, 2015
Rating:




