Propellerads

Mourinho hawapi tena mashabiki


                                          

The special one kila asemacho huwa ni habari kubwa, baada ya kuzungumza kuhusu ishu ya Barcelona na Real Madrid wangekua kwenye ligi ya uingereza maisha yao yangekua
magumu. Hivi sasa amekuja na jipya, kama unakumbuka mwaka mwaka 2006 baada ya kuchukua taji la EPL alirusha medali yake kwa mashabiki.
Lakini alipoulizwa kwamba atarusha tena medali yake kwa mara nyingine hili ndilo lilikua jibu lake,”Mwanangu wa kiume hivi sasa anakusanya kila kitu changu. Anachokifanya ni kuhifadhi kila kitu, wakati ule mwaka 2006 alikua mdogo sana lakini hivi sasa anakusanya kila kitu kuanzia jezi, medali na kila kitu. Kuna wakati anaiba vitu vyangu na kuviweka kwenye collection yake”.
Mourinho hawapi tena mashabiki Mourinho hawapi tena mashabiki Reviewed by Steve on Saturday, May 23, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.