Chelsea walivyosherehekea ubingwa huku Drogba akiaga.
Ligi kuu England msimu wa 2014/2015 ilifikia tamati jana kwa timu zote 20 kucheza mechi za mwisho kuanzia majira ya saa 11:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki.
Uwanja wa Stamford Bridge, Mabingwa wapya Chelsea walihitimisha msimu wa mafanikio kwao kwa
kucheza na Sunderland.Uwanja wa Stamford Bridge, Mabingwa wapya Chelsea walihitimisha msimu wa mafanikio kwao kwa
Moja ya wachezaji walioaga katika timu zao leo ni Didier Drogba.
Mshambuliaji huyo raia wa Ivory Coastal amekuwa na mafanikio makubwa Darajani, lakini jana aliaga.
Drogba alisema:
Leo ni mechi yangu ya mwisho kuichezea Chelsea. Nimeongea kwa kirefu na Jose (Mourinho), anajua kwamba nahitaji kuendelea kucheza angalau kwa msimu mmoja. Ili kucheza zaidi najua nahitaji kwenda klabu nyingine. Mashabiki wote wanajua mapenzi yangu kwa Chelsea, nitumaini siku za baadaye nitarudi kwa majukumu mengine.
Wote tufurahie pamoja!!!!

Cheki walivyosherehekea hiyo jana
Chelsea walivyosherehekea ubingwa huku Drogba akiaga.
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating: