Yanga yamtambulisha mpya, atavaa uzi kama wa Chuji kipindi hichoo!!
Uongozi wa klabu ya Yanga, leo umemtambulisha kiungo wake mpya, Deus Kaseke.
Yanga, Athumani Iddi 'Chuji' ambaye sasa ni nahodha wa Mwadui FC iliyorejea Ligi Kuu Bara.
Kaseke ametua Yanga akitokea Mbeya City baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la Sh milioni 35, jana.
Kaseke ametambulishwa mbele ya waandishi wa habari katika makao makuu ya klabu hiyo naye kusema amefurahia kujiunga na Yanga.
“Ninahitaji mafanikio, Yanga ni sehemu sahihi, nafurahi kuwa hapa. Ninaahidi kujituma zaidi ili niweze kufanya vizuri nikiwa na Yanga,” alisema.
Yanga yamtambulisha mpya, atavaa uzi kama wa Chuji kipindi hichoo!!
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 25, 2015
Rating:
