Propellerads

Boateng na Lewandosk ilikua kidogo wazichape mazoezini......kisa kipo hapa

Kama si juhudi za wachezaji wa Bayern Munich basi mshambuliaji Robert Lewandowski na beki Jerome Boateng wangeishia pabaya.




                                         




Wawili hao walitaka kuzichapa katika mazoezi ya timu hiyo juzi baada ya Lewandowski kumuangusha Boateng wakati wakigombea mpira.

Kitendo hicho kilionyesha kumuudhi beki huyo mwenye asili ya Ghana na kusababisha ugomvi huo huku wakitaka kuzichapa kavukabu, lakini lakini juhudi za wachezaji pamoja na maneno ya kocha Pep Guardiola yalisaidia wachezaji hao kusitisha zoezi kao la kutaka kuchapana.
                                     
                                



                           




                         





Boateng na Lewandosk ilikua kidogo wazichape mazoezini......kisa kipo hapa Boateng na Lewandosk ilikua kidogo wazichape mazoezini......kisa kipo hapa Reviewed by Steve on Friday, May 22, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.