Propellerads

Mourinho na Hazard ndio bora EPL

                               


Mkufunzi wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa mkufunzi bora katika ligi ya Uingereza kwa mara ya
tatu.

Akihudumia kipindi chake cha pili katika kilabu hiyo rais huyo wa Ureno mwenye umri wa miaka 52 aliiongoza Chelsea kubeba taji lao la kwanza la ligi ya Uingereza katika kipindi cha miaka mitano pamoja na kombe la Ligi.






Kiungo wa kati wa Chelsea Eden Hazard ambaye aliifungia Chelsea mabao 20 alitangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi ya Uingereza msimu huu.
Mourinho na Hazard ndio bora EPL Mourinho na Hazard ndio bora EPL Reviewed by Steve on Friday, May 22, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.