Baada ya kutemwa Yanga, unajua Tegete na Nizar wamemwaga wino wapi......soma hapa
Mshambuliaji Jeryson Tegete na
kiungo Nizar Khalfan wamesajiliwa na timu mpya iliyopanda ligi kuu soka
Tanzania bara msimu ujao
, Mwadui fc.
, Mwadui fc.
Kocha mkuu wa Mwadui, Jamhuri
Musa Kihwelo ‘Julio’ amethibitisha kuwasajili wachezaji hao waliotemwa
na Yanga na kila mmoja amesaini mkataba wa mwaka mmoja.
Julio amesema bado anaendelea
kufanya mazungumzo na wachezaji wengi wenye uzoefu ili ligi ikianza
kikosi chake kiwe na makali ya kutisha.
Baada ya kutemwa Yanga, unajua Tegete na Nizar wamemwaga wino wapi......soma hapa
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 31, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, May 31, 2015
Rating:
