Propellerads

Unamkubali Samatta zaidi uwanjani, kwa upande huu nae kakwama



Mshambuliaji wa Genk, Mbwana Samatta ataendelea kuendeshwa kwa kuwa alifeli katika
mtihani ambao ungemuwezesha kupata leseni ya udereva nchini Ubelgiji.

Kama ilivyo kawaida katika nchi za Ulaya, wanaotakiwa kuendesha nchini humo lazima wafanyiwe mtihani.

Samatta alishindwa kufanya vema na kupata maksi ambazo ni sahihi ili kuweza kupewa leseni.


Kutokana na kushindwa, Samatta ataendelea kuendeshwa kwenda na kurudi mazoezini pia kwenye shughuli zake mbalimbali akiwa nchini Ubelgiji.
Unamkubali Samatta zaidi uwanjani, kwa upande huu nae kakwama Unamkubali Samatta zaidi uwanjani, kwa upande huu nae kakwama Reviewed by Steve on Thursday, September 01, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.