Propellerads

Manchester United kumkosa Mkhitaryan



Winga wa Manchester United,  Henrikh Mkhitaryan alitolewa nje baada ya
kupata jeraha kwenye goti wakati timu yake ya taifa ya Armenia ikiumana na jamhuri ya Czech mchezo wa kirafiki jana.



Muarmenia huyo alitoka dakika ya 38 huku timu yake ikipoteza kwa 3-0 japo jeraha lake sio kubwa sana.


Manchester United kumkosa Mkhitaryan Manchester United kumkosa Mkhitaryan Reviewed by Steve on Thursday, September 01, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.