Propellerads

Tazama jinsi kikosi cha Arsenal kitakavyokua baada ya kutua kwa Mustafi na Perez


Nani aliyesema Arsene Wenger ni bahili!?


Bosi huyo wa Arsenal alifanya dili mbili za nguvu usiku wa kuamkia siku ya mwisho kufungwa dirisha la usajili kwa kumleta mshambuliaji mhispania Lucas Perez na beki mjerumani Shkodran Mustafi ambayo ilipelekea Gunners kujikuta wametumia jumla ya pauni mil 92 katika kipindi hiki cha usajili.

Wawili hao wanaungana na Granit Xhaka, Takuma Asano na Rob Holding katika usajili uliofanywa na Gunners, hapa chini ni jinsi kikosi cha Arsenal kinavyotarajiwa kua msimu huu baada ya usajili kwa mujibu wa mtandao wa Mirror wa nchini Uingereza.

                                                                 ATTACKING



BALANCED



DEFENSIVE



TWO UP TOP


Wenger sasa ana vichwa viwili vya kuchezesha mbele, Perez anaweza kushirikiana vizuri na Giroud, japo Granit Xhaka anaweza kujikuta akifanya kazi sana kwa formation hii.




Tazama jinsi kikosi cha Arsenal kitakavyokua baada ya kutua kwa Mustafi na Perez Tazama jinsi kikosi cha Arsenal kitakavyokua baada ya kutua kwa Mustafi na Perez Reviewed by Steve on Thursday, September 01, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.