Propellerads

Pogba na Ibrahimovic wanalipwaje!!, hii hapa mishahara mipya kwa wachezaji Man United 2016/17



Vijana wapya waliosajiliwa Manchester United, Paul Pogba na Henrikh Mkhitaryan uhamisho
wao uliigharimu klabu hiyo pesa ndefu kidogo, lakini hivi karibuni imevuja jinsi Old Trafford inawalipa nyota wake.

Kwa mujibu wa mtandao uitwao totalSPORTEK, wakali hao wa Uinngereza wanatumia kiasi cha pauni mil 203 kwa mwaka kulipa mishahara pekee.

Hapa chini ni mishahara mipya ya sasa kwa wachezaji Man United kama ilivyovujishwa na totalSPORTEK:

1) Paul Pogba – £290 000

2) Wayne Rooney – £250 000

3) Zlatan Ibrahimovic – £220 000

4) David de Gea – £200 000

5) Bastian Schweinsteiger – £200 000

6) Henrikh Mkhitaryan – £140 000

7) Juan Mata – £140 000

8) Ashley Young – £110 000

9) Morgan Schneiderlin – £100 000

10) Memphis Depay – £90 000

11) Chris Smalling – £80 000

12) Michael Carrick – £80 000

13) Marouane Fellaini – £80 000

14) Eric Bailly – £75 000

15) Daley Blind – £75 000

16) Ander Herrera – £75 000

17) Marcos Rojo – £70 000

18) Luke Shaw – £70 000

19) Antonio Valencia – £70 000

20) Anthony Martial – £65 000

21) Matteo Darmian – £60 000

22) Sergio Romero – £50 000

23) Phil Jones – £50 000

24) Jesse Lingard – £25 000

25) Marcus Rashford – £20 000

26) Sam Johnstone – £10 000


27) Timothy Fosu-Mensah – £5 000
Pogba na Ibrahimovic wanalipwaje!!, hii hapa mishahara mipya kwa wachezaji Man United 2016/17 Pogba na Ibrahimovic wanalipwaje!!, hii hapa mishahara mipya kwa wachezaji Man United 2016/17 Reviewed by Steve on Friday, September 02, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.