Sare ya Tottenham yamchanganya Klopp, hiki ndicho alichokisema
Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amefunguka kwamba
hajisikii vizuri baada ya timu yake kujikuta wakiambulia point moja pekee mbele ya Tottenham Hotspurs.
Reds walikua wakiongoza kabla ya mapumziko baada ya penati iliyopigwa na James Milner.
"Ukichukua point kwa Tottenham, asilimia 99 ni vizyri kwa vilabu vingi, lakini leo kwetu tumeona mchezo ulivyokua tofauti," Klopp aliiambia Sky Sports News.
"Kosa letu la kwanza wakatufunga. Tulicheza mpira na kulinda vizuri. ni kama hatujatumia vipaji vyetu."
Sare ya Tottenham yamchanganya Klopp, hiki ndicho alichokisema
Reviewed by Steve
on
Saturday, August 27, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, August 27, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment