Mourinho azungumzia ushindi finyu dhidi ya Hull City
Meneja wa Man United, Jose Mourinho amedai kua timu yake ilistahili
ushindi mkubwa zaidi mbele ya Hull City jana jioni.
Katika mechi hiyo jana, Marcus Rashford ndiye alikua mkombozi wa Red Devils baada ya kufunga bao la pekee katika dakika ya 92.
"Tulistahili ushindi kwa kujiamini kabisa. Inaleta hamasa zaidi unapopata ushindi dakika za mwishoni," aliwaambia waandishi.
"Vijana walikua imara sana na kipindi cha pili ilikua kama tunapambana na ukuta. Tulikua na mentallity inayoshangaza. Tulikua imara na tulijitahidi kuleta matatizo kwa wapinzani. Tulijaribu na kujaribu mwishoe tukapata,"
Mourinho azungumzia ushindi finyu dhidi ya Hull City
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment