Propellerads

Klabu hii ya Serie A yathibitisha mazungumzo na Balotelli



Klabu moja ya Serie A imethibitisha kua katika mazungumzo na nyota
aliyetemwa Liverpool, Mario Balotelli ambapo huenda akajiunga nao msimu huu.

Rais wa Palermo, Maurizio Zamparini amefichua kwamba kua wamevutiwa kumsainisha mshambuliaji huyo na tayari wameshazungumza na wakala wake na pia Balotelli mwenyewe.

"Nilimpigia (wakala Mino) Raiola, nae akaeekeza simu kwa Balotelli," Zamparini aliiambia Corriere dello Sport.

"Mario hapohapo aliweka wazi kua angefurahi kuja Palermo. Tulijadili hali ya uchumi na nilimfafanulia hatutoweza kulipa mshahara kwa levo yake ya sasa."

Klabu hii ya Serie A yathibitisha mazungumzo na Balotelli Klabu hii ya Serie A yathibitisha mazungumzo na Balotelli Reviewed by Steve on Sunday, August 28, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.