Kikosi cha Yangakitakachoanza leo dhidi ya African Lyon uwanja wa Taifa
Baada ya safari ndefu ya michuano ya kombe la shirikisho, kwa mara ya kwanza
Yanga itakuwa ikikanyaga nyasi za Uwanja wa Taifa, leo Jumapili kupambana na African Lyon katika msimu wa 2016/17. Na hiki ni kikosi kinachotarajiwa kuanza upande wa wana Jangwani.
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Andrew Vincent ‘Dante’
5. Vincent Bossou
6. Thaban Kamausoko
7. Simon Msuva
8. Haruna Niyonzima
9. Donald Ngoma
10. Amiss Tambwe
11. Deus Kaseke
Sub
Kakolanya, Oscar, Pato Ngonyani, Mahadhi, makapu, Mateo, Yusuph
Kikosi cha Yangakitakachoanza leo dhidi ya African Lyon uwanja wa Taifa
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 28, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment