Wenger kocha bora wa mwezi

Arsene Wenger ameibuka na tuzo ya kocha bora wa mwezi
uliopita katika Ligi Kuu England.
Hiyo ni ni tuzo ya 15 ya mwezi kwa Wenger tokea atue Arsenal mwaka 1996 akitokea Grampus Eight ya Japan.
Mwezi uliopita, Wenger amefanikiwa kuingoza Arsenal kuzitwanga Manchester United, Watford, Everton na Swansea City.
Wenger kocha bora wa mwezi
Reviewed by Steve
on
Tuesday, November 10, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, November 10, 2015
Rating:



No comments:
Post a Comment