Matokeo ya mechi za Premier League jana Jumamosi

Ligi kuu nchini England imeendelea leo kwa kushudia michezo kadhaa ikipigwa kwenye
viwanja tofauti huku timu hizo zikiwania pointi tatu muhimu ili kujiweka sawa kwenye msimamo wa ligi hiyo ambayo inazidi kuchukua sura mpya kila kukicha.
Haya hapa ni matokeo ya mechi zote zilizochezwa Jumamosi ya October 31
Matokeo ya mechi za Premier League jana Jumamosi
Reviewed by Steve
on
Sunday, November 01, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, November 01, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment