Propellerads

Cheki mapicha TP Mazembe kabla hawajawaua waAlgeria

TP Mazembe imejiwekea mazingira mazuri ya kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa mara nyingine.

Hii ni baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya USM Alger wakiwa ugenini na shujaa ni Mbwana Samatta ambaye alifunga bao la pili.
Kabla ya ushindi wa jana, Mazembe iliweka kambi Marrakech, Morocco na hivi ndivyo yalivyokuwa mazoezi yao.
















Cheki mapicha TP Mazembe kabla hawajawaua waAlgeria Cheki mapicha TP Mazembe kabla hawajawaua waAlgeria Reviewed by Steve on Sunday, November 01, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.