Diego Costa kukumbana na adhabu tena, huenda akafungiwa mechi hizi

Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa anaweza kupewa adhabu ya
kufungiwa mechi nne na chama cha soka cha England kutokana na kumchezea vibaya mchezaji wa Liverpool, Martin Skrtel.

Tukio hilo, ambapo Mhispania huyo alionekana akimpiga kiatu kifuani Skrtel, lilitokea kwenye mechi iliyopita Jumamosi ambapo Blues walipoteza kwa 3-1 wakiwa nyumbani dhidi ya Liverpool.
Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa na mwamuzi Mark Clattenburg wakati huo, lakini hatua zaidi zinaweza kuchukuliwa kwa sasa ambazo zitakua kali zaidi ya kadi nyekundu.
Diego Costa kukumbana na adhabu tena, huenda akafungiwa mechi hizi
Reviewed by Steve
on
Monday, November 02, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment