Manchester United vs Manchester City kama ilivyokua

Timu ya Manchester United imelazimishwa sare ya bila kufungana na
Manchester City kwenye mchezo wa ‘Manchester Derby’ ikiwa ni pambano la ligi kuu ya nchini England (EPL) pambano likichezwa kwenye uwanja wa Old Trafford.
Matokeo ya mchezo huo yanaipa nafasi timu ya Manchester City kurejea kileleni mwa ligi kwa kuitoa Arsenal kwenye nafasi hiyo ambao walikaa jana baada ya kushinda mchezo wao dhidi ya Everton wakafanikiwa kukaa kileleni kwa muda kusubiri mechi za leo.

MANCHESTER UNITED (4-2-3-1): De Gea 6; Valencia 6.5 (Darmian 5.5), Jones, Smalling, Rojo, Schweinsteiger (Fellaini), Schneiderlin, Mata (Lingard ), Herrera, Martial, Rooney.
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Romero, Blind, Carrick, Memphis.
Waliooneshwa kadi ya njano: Schneiderlin, Mata
Kocha: Louis van Gaal.
MANCHESTER CITY (4-2-3-1): Hart, Sagna, Kompany, Otamendi, Kolarov Fernando, Fernandinho, De Bruyne, Toure (Demichelis), Sterling (Navas) Bony, (Iheanacho).
Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Caballero, Mangala, Zabaleta, Roberts.
Waliooneshwa kadi za njano: Kompany, Fernandinho
Kocha: Manuel Pellegrini.
Manchester United vs Manchester City kama ilivyokua
Reviewed by Steve
on
Monday, October 26, 2015
Rating:



No comments:
Post a Comment