Propellerads

Kuhusu mambo aliyomfanyia John Boko, Nyoso amesema haya




Beki Juma Nyosso wa Mbeya City, amesema
hakumbuki kama kweli alimfanyia vile nahodha wa Azam FC, John Bocco.

Nyosso amefungiwa miaka miwili kucheza soka pamoja na faini ya Sh milioni mbili baada ya kumshika makalio kwa makusudi na kumdhalilisha Bocco.

Lakini Nyosso amesema hakumbuki kufanya hivyo na angependa Chama cha Wanasoka Tanzania (Sputanza) kuingilia na kumsaidia.

“Sikumbuki kufanya hivyo, huenda watu wananihukumu kwa yale niliyofanya nyumba,” alisema.

Nyosso alikamatwa akifanya hivyo na picha ya vyombo vya habari na picha ilionyesha kila kitu wazi.
Kuhusu mambo aliyomfanyia John Boko, Nyoso amesema haya Kuhusu mambo aliyomfanyia John Boko, Nyoso amesema haya Reviewed by Steve on Thursday, October 01, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.