Jinsi gani Chriss Smalling ataweza kua nahodha wa Man United na England
Chris Smalling atakua nahodha wa baadaye wa Manchester United na timu
ya taifa ya England kwa mujibu wa Garry Pallister.
Smalling, aliyejiunga na Man United mwaka 2010 akitokea Fulham amekua kiongozi klabuni.
Ni nahodha msaidizi wa klabu baada ya Wayne Rooney na amehakikisha ulinzi kwa Louis van Gaal mwaka huu.
Sasa beki wa zamani Pallister anamuona jinsi anavyokomaa haraka na kua tegemeo la kocha mholanzi.
"Ni upembuzi yakinifu ambapo ni nahodha msaidizi wa United kama meneja ataendelea kuwa na jina lake itakua sawa," Pallister aliiambia 888sport.
"Ni mchezaji thabiti zaidi wa Man United msimu huu.
"Amechukua jukumu la kuvaa skafu shingoni na kufanya kua beki wa kati anayetoa command ya utendaji.
Natumaini atapeleka hicho katika perfomance ya England na baadae anaweza kua nahodha wa England"
Jinsi gani Chriss Smalling ataweza kua nahodha wa Man United na England
Reviewed by Steve
on
Thursday, October 22, 2015
Rating:



No comments:
Post a Comment