Propellerads

Yanga kukipiga na Prisons jumapili, lakini watakutana na timu hizi kwanza




Yanga itashuka dimbani Jumapili kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Mbeya City.

Mechi hiyo
itapigwa kwenye Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara.

Yanga wamnasa mwingine kutoka KMKM, ni katika kuongeza nguvu ya ushambuliaji

Yanga imeweka kambi mjini Tukuyu kujiandaa na ligi kuu, na tayari imeshacheza mechi moja ya kirafiki dhidi ya Kimondo ya Mbozi na kushinda kwa mabao 4-1.

Yanga walivyoitungua Kimondo FC

Kabla ya mechi hiyo ya Jumapili, Yanga inatarajia kushuka dimbani kesho kucheza na Prisons ya Mbeya.
Yanga kukipiga na Prisons jumapili, lakini watakutana na timu hizi kwanza Yanga kukipiga na Prisons jumapili, lakini watakutana na timu hizi kwanza Reviewed by Steve on Tuesday, August 11, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.