Propellerads

Yanga wamnasa mwingine kutoka KMKM, ni katika kuongeza nguvu ya ushambuliaji




Yanga imezidi kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji baada ya kumnasa
Matheo Anthony.

Yanga walivyoitungua Kimondo FC jana

Huyu ni yule mshambuliaji hatari wa KMKM ya Zanzibar aliyeifunga Yanga kwenye Kagame Cup.

Lakini akapiga bao mbili wakati Simba ilipoifunga KMKM kwa mabao 3-2 katika mechi ya kirafiki mjini Zanzibar.

Matheo amesaini mkataba wa miaka miwili mbele ya Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha kuichezea Yanga.
Yanga wamnasa mwingine kutoka KMKM, ni katika kuongeza nguvu ya ushambuliaji Yanga wamnasa mwingine kutoka KMKM, ni katika kuongeza nguvu ya ushambuliaji Reviewed by Steve on Monday, August 10, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.