Propellerads

Ushindi wa Man United kufuzu UEFA, van Gaal amwaga sifa kwa Depay




Bosi wa Man United, Louis van Gaal ameonesha furaha yake na kumsifia
Memphis Depay juu ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Brugges katika kufuzu Uefa.

Matukio katika picha, Man United alivyoua jana usiku!

Depay alifunga magoli mawili katika mchezo huo hivyo kuiweka timu katika nafasi nzuri ya kusonga katika hatua za makundi.

"Memphis amenifurahisha sana kwa sababu mchezaji anahitaji kua hivyo" aliiambia The Express

"Nilisema ni swala la muda, na nina tumaini ataendelea hivyo"

Chelsea nao wanataka kuingilia dili la Pedro?!!

"Ana miaka 21 na amecheza misimu miwili pekee PSV , nilikua na imani kubwa kwake"

Man United wameanza vizuri EPL kwani wameshinda michezo yao yote ya mwanzo.
Ushindi wa Man United kufuzu UEFA, van Gaal amwaga sifa kwa Depay Ushindi wa Man United kufuzu UEFA, van Gaal amwaga sifa kwa Depay Reviewed by Steve on Wednesday, August 19, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.