Propellerads

Tetesi: Arsenal sasa macho kwa Cavani.




Kwa mujibu wa Daily Mirror, sasa Arsenal wanajipanga kwa ajili ya kuipata saini ya nyota wa PSG, Edinson Cavani.

The Gunners kwa sasa wanaonekana kua njia panda dili la Benzema, huku kocha Wenger akitia matumaini ya kuipata saini hiyo muda wowote.

Huku PSG wakidaiwa kutokua na nia ya kutomuuza Cavani, lakini kitu kinachotia moyo ni kwamba hali ya baadaye kati ya Cavani na klabu haijaeleweka kwa hiyo huenda ukawa ni mwanya mkubwa kwa Arsenal.

Cavani ambaye pia alihusishwa na Manchester United mapema mwezi huu, alitua PSG majira yaliyopita akitokea Napoli kwa £55m.
Tetesi: Arsenal sasa macho kwa Cavani. Tetesi: Arsenal sasa macho kwa Cavani. Reviewed by Steve on Tuesday, August 25, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.