Propellerads

Sasa La Liga live bila chenga Azam TV




Runinga ya Azam TV leo rasmi imezindua uonyeshwaji wa Ligi maarufu
ya Hispania ya La Liga.
Uzinduzi huo umefanyika makao makuu ya Azam TV, Tabata jijini Dar es Salaam na wageni kadhaa walialikwa.



Kupitia ving’amuzi vya Azam TV, sasa watu wataweza kuona mechi mbalimbali za La Liga wakianza na ile ya Ijumaa ijayo kati ya Malaga dhidi ya Sevilla.

Azam TV inakuwa kampuni ya kwanza ya Tanzania inayomiliki runinga kupewa haki ya kuonyesha mechi za La Liga ambayo ni ligi yenye mafanikio makubwa zaidi katika kipindi hiki.
Sasa La Liga live bila chenga Azam TV Sasa La Liga live bila chenga Azam TV Reviewed by Steve on Friday, August 14, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.