Possible line ups Barca na Sevilla leo jumanne, Pedro yumo!!
Barca leo wanashuka uwanjani kuumana na Sevilla katika fainali ya Super Cup, katika
mechi ya leo nyota wa Brazil, Neymar hatakuemo kutokana na matatizo ya afya. Kwa hiyo ile 'combination' ya Messi, Suarez na Neymar itapata mtu mwingine atakayeziba nafasi ya Neymar, bila shaka atakuwa Pedro ambaye amekua akihusishwa sana kutaka kuhamia Man United.
Alba nae yuko nje kwa matatizo ya kiafya, hivyo Jeremy Mathieu ataanza kama beki wa kushoto. Kwa ufupi tu nimekuwekea vikosi vinavyotarajiwa kuanza leo, cheki hapo chini
Barcelona possible starting lineup:
Ter Stegen; Alves, Pique, Mascherano, Mathieu; Iniesta, Rakitic, Busquets; Pedro, Suarez, Messi
Sevilla possible starting lineup:
Rico; Mariano, Rami, Carrico, Tremoulinas; Krychowiak, Banega, N'Zonzi; Vitolo, Immobile, Gameiro
Possible line ups Barca na Sevilla leo jumanne, Pedro yumo!!
Reviewed by Steve
on
Monday, August 10, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, August 10, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment