Pedro akitua rasmi Chelsea, Willian atauzwa huku
Imeripotiwa kua klabu ya Chelsea inajiandaa kumuuza nyota wake
Willian ambapo vilabu vya Paris Saint Germain na Bayern Munich vimeshaonesha nia ya kumuhitaji, hatua hii inafatia baada ya kumnasa Pedro ambaye uhamisho wake unatarajiwa kukamilika muda si mrefu.
Pedro anatarajiwa kuja kua msaada mkubwa kwa kikosi cha Mourinho, hivyo kuzuia nafasi ya Pedro kucheza mara kwa mara kwani tangu awasili Stamford Bridge 2013 amekua akianza karibia kila mechi.
Kwa mujibu wa Foot Mercato , tayari PSG na Bayern wameshafanya mawasiliano na Chelsea juu ya kumnasa mbrazili huyo.
Willian alianza mechi zote za Premier League msimu huu.
Pedro akitua rasmi Chelsea, Willian atauzwa huku
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 20, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, August 20, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment