Man United kumnasa nyota huyu kutoka Lazio??!!
Manchester United wanadaiwa kua na nia ya kusmajili nyota Felipe Anderson kutoka klabu ya Lazio ya Serie A Italia.
Mchezaji huyo mwenye miaka 22, amefunga magoli 10 kwa klabu yake katika mechi 32 za ligi mwaka jana.
Kwa mujibu wa ESPN wanasema kocha Van Gaal anakusudia kumuongeza Anderson katika kikosi chake baada ya kumkosa Pedro aliyeelekea Chelsea.
Lazio wameanza vizuri ligi kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya Bologna jana jumamosi.
Man United kumnasa nyota huyu kutoka Lazio??!!
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 23, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment