Chelsea vs Man City:Kompany azungumzia namna ya kumdhibiti Costa, pia cheki possible line ups
Beki wa Manchester City, Vincent Kompany, amedai kua njia nzuri ya
kumdhibiti Diego Costa ni kuzuia mbinu zake za kidanganyifu kwa mabeki,
Costa amekua katika kiwango kizuri EPL tangu ahamie Chelsea akitokea Atletico Madrid msimu uliopita.
Kompany amedai ili kumuweza Costa ni kutojali ishara zake za vitendo na maneno.
"Ni mzuri mchezoni ambapo unatakiwa kua makini naye" alisema beki huyo kama alivyonukuliwa na The Mirror
"Rekodi zake zinajieleza. Unachotakiwa kujua ni kumuelewa. Ni hatari sana."
"Cheza nae mchezo wa kawaida, na ufikirie cha kufanya"
Leo jioni Chelsea watakua ugenini kuumana na Man City ikiwa ni mechi zao za pili kila mmoja tangu kuanza kwa ligi msimu huu, na hpa chini ni vikosi vinavyotarajiwa kuanza katika picha.
Chelsea vs Man City:Kompany azungumzia namna ya kumdhibiti Costa, pia cheki possible line ups
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:





No comments:
Post a Comment