Kama hukucheki vizuri mechi ya Simba jana, tazama pichazz hapa
Kikosi cha ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba kimefanikiwa kuibuka na
ushindi wa goli 2-1 mbele ya timu ya URA FC ya Uganda kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jana jioni ikiwa ni mchezo wa kujipima nguvu na kujiandaa kwa ajili ya michuano ya ligi kuu Tanzania bara inayotaraji kuanza mapema mwezi ujao. Cheki picha namna ilivyokuwa
Kama hukucheki vizuri mechi ya Simba jana, tazama pichazz hapa
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:










No comments:
Post a Comment