Propellerads

Cheki Yanga wakikomaa na tizi Tukuyu




Mabingwa wa kandanda Tanzania bara, Dar es salaam Young Africans wanaendelea
na mazoezi mjini Tukuyu, Mbeya kujiwinda na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya Azam FC itayopigwa Agosti 22 mwaka huu uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Washindi wa bahati nasibu Simba day wapewa zawadi leo, shuhudia baadhi ya picha



Wakiwa huko, Yanga tayari wamecheza mechi mbili za kirafiki ambapo ya kwanza walishinda 4-1 dhidi ya Kimondo FC.
Jumapili ya wiki hii, Yanga watakabiliana na Mbeya City uwanja huo wa Sokoine.


Cheki Yanga wakikomaa na tizi Tukuyu Cheki Yanga wakikomaa na tizi Tukuyu Reviewed by Steve on Thursday, August 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.