Propellerads

Baada ya kutoridhika, Simba kuleta msenegali mwingine tena!!




Simba sasa inaleta Msenagali mwingine
kwa ajili ya kumjaribu.

Hii ni baada ya kutorishishwa na yule Papa Niang aliyeelezwa ni mdogo wa Mamadou Niang.

Taarifa kutoka ndani ya Simba zinaeleza, Abdulah Ndow kutoka Senegal na analetwa na wakala aliyemleta Kocha Dylan Kerr.
Inaelezwa aliwahi kucheza soka barani Ulaya katika kikosi cha Bucharest ambako alivunja mkataba baada ya kutolipwa.

Taarifa zinasema atawasili leo na Simba itakuwa na nafasi ya kumuona kabla ya kuamua. Hii ni uthibitisho kwamba Niang, anaondoka zake.

Baada ya kutoridhika, Simba kuleta msenegali mwingine tena!! Baada ya kutoridhika, Simba kuleta msenegali mwingine tena!! Reviewed by Steve on Tuesday, August 25, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.