Arsenal akipata ushindi wake wa kwanza, cheki pichazzz
Goli la kustaajabisha lake Olivier Giroud dakika ya '16 na pia lile la kujifunga la Damien Delaney dakika ya '55
yametosha kuipa Arsenal ushindi wa 2-1 wake wa kwanza msimu huu huku wakiwa ugenini dhidi ya Crystal Palace katika uwanja wa Selhurst Park, bao pekee la Crystal Palace limefungwa na Joel Ward dakika ya '28 . Cheki picha kama ilivyokua
Arsenal akipata ushindi wake wa kwanza, cheki pichazzz
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 16, 2015
Rating:






















No comments:
Post a Comment