Propellerads

Hatimae Messi asaini Azam.




Kiungo mshambuliaji aliyekuwa na matatizo ua kimkataba na Simba SC Ramadhani Singano "Messi" amesaini
mkataba wa kuitumikia Azam FC hii leo ikiwa ni baada ya mkataba wake kuvunja juzi.

Messi amesaini mkaba wa miaka mwili ya kuitumikia Azam FC, baada ya juzi kamati ya sheria, maadili na hadhi ya wachezaji kusitisha mkataba wake na Simba SC na kumfanya Messi awe mchezaji huru.

Baada ya kusaini mkataba huo leo Messi atajiunga na wenzakae wakati wowote kuanzia sasa





Hatimae Messi asaini Azam. Hatimae Messi asaini Azam. Reviewed by Steve on Thursday, July 09, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.