Propellerads

Dogo wa kitanzania atambulishwa rasmi klabu ya Ujerumani.


Emmily(wa kwanza kushoto) akiwa na wachezaji wenzake.

Kijana wa Kitanzania Emily Mugeta ametambulishwa katika  timu yake mpya ya Neckarsulm Union Sports yenye makazi yake mjini, Neckarsulm nchini Ujerumani.
Timu hiyo inacheza ligi ya Verbandsliga ambayo ni miongoni mwa ligi za Ujerumani ambazo zina majina tofauti kama vile Bundesliga, second Bundesliga, Third Bundesliga.
Ili kuingia Verbandsliga unatakiwa kupitia kwanza Oberliga.


SOURCE: Shaffih Dauda
Dogo wa kitanzania atambulishwa rasmi klabu ya Ujerumani. Dogo wa kitanzania atambulishwa rasmi klabu ya Ujerumani. Reviewed by Steve on Thursday, July 09, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.