Propellerads

Yanga kujificha huku kuelekea mpambano wa watani




Yanga itaweka kambi Pemba kujiandaa na mechi dhidi ya
watani wake Simba, Oktoba Mosi.

Tayari mechi hiyo imekuwa gumzo nchini hata kabla ya timu hizo kumaliza mechi zao za wikiendi ijayo.

Taarifa zimeeleza, kambi ya Pemba imeonekana kuwa na baraka zaidi kwa Yanga ambayo msimu uliopita iliichapa Simba ‘nje ndani’.

“Kila kitu kinaonyesha hivyo, kambi itakuwa Pemba. Lakini ni suala la kusubiri sasa, tutajua nafikiri ndani ya siku mbili,” kilieleza chanzo.


“Hata kocha anavutiwa na kambi ya Pemba pia ushirikiano wa wanachama na mashabiki kule ni mkubwa.”
Yanga kujificha huku kuelekea mpambano wa watani Yanga kujificha huku kuelekea mpambano wa watani Reviewed by Steve on Tuesday, September 20, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.