Ronaldo ametupia jana kama kawa, Barca wamekwama kwa timu ndogo tu
Cristiano Ronaldo jana akirejea tena uwanjani Real Madrid aliifungia timu yake
ikiizamisha Osasuna kwa 5-2 Santiago Bernabeu.
Magoli ya Real Madrid jana yaliwekwa kambani na Ronaldo (dakika ya 6'), Danilo (dakika ya 40'), Ramos (dakika ya 45'+1), Pepe (dakika ya 56'), Modric (dakika ya 62') huku ya Osasuna yakifungwa na Riera (dakika ya 64'), García (dakika ya 78').
Kwa upande mwingine, Barcelona wamepoteza mechi ya kwanza msimu huu kwa 2-1 mbele ya timu mpya Deportivo Alaves wakiwa nyumbani Camp Nou.
Mabao ya Alaves yalitupiwa na Brum Silva Acosta (39'), Gómez Pérez (64') huku Barca wakipata lao kupitia kwa Mathieu (46')
Mechi hiyo ilishuhudiwa Messi, Suarez na Iniesta wakianza benchi.
Matokeo mengine mechi za La Lig ilikua kama ifuatavyo:
Celta Vigo 0-4 Atl Madrid
Malaga 0 -2 Villarreal
Sevilla 2-1 Las Palmas
Ronaldo ametupia jana kama kawa, Barca wamekwama kwa timu ndogo tu
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 11, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 11, 2016
Rating:


No comments:
Post a Comment