Kama akiondoka Barcelona basi klabu hii ndio chaguo la Messi
Nyota wa FC Barcelona, Lionel Messi kwa mara nyingine tena
ameongelea atapenda kuelekea wapi endapo atatimka kwa wakali hao wa Catalan.
Mshambuliaji huyo wa Barcelona akiwa kinda aliichezea Newell's Old Boys kabla ya kuelekea Hispania akiwa na miaka 13 na amefunguka kwamba angependa kurejea tena sehemu aliyoanzia soka.
"Nitapendelea kurejea (Newell)," aliiambia Telefe's Polemica en el Bar.
"Ni kitu ambacho nimeweka machoni kwa sababu ni ndoto yangu tangu nikiwa mtoto.
"Ninataka kuchezea Argentina. na Newell ambapo nilikulia."
Kama akiondoka Barcelona basi klabu hii ndio chaguo la Messi
Reviewed by Steve
on
Monday, September 05, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, September 05, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment