Propellerads

Jack Wilshere katika mazungumzo na Arsenal juu ya mkataba mpya



The Sun wameripoti kwamba Jack Wilshere ambaye amehamia
Bournemouth kwa mkopo msimu huu tayari amefanya mazungumzo kuhusu kusaini mkataba mpya wa muda mrefu pindi akirejea baada ya kumaliza mkopo wake.

"[Jack] anaipenda Arsenal na anataka kubakia klabuni na mazungumzo aliyofanya na klabu yamekua na mazuri pande zote," gazeti hilo lilinukuu chanzo kutoka Emirates.

Mkataba wa sasa wa Wilshere unafikia kikomo mwakani.


Jack Wilshere katika mazungumzo na Arsenal juu ya mkataba mpya Jack Wilshere katika mazungumzo na Arsenal juu ya mkataba mpya Reviewed by Steve on Wednesday, September 07, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.