Baada ya sare ya Ndanda, kauli ya Pluijm kwa wachezaji wake
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm ameonekana
kutofurahishwa na sare dhidi ya Ndanda FC mjini Mtwara, jana.
Cannavaro akubali yaishe awaachia kina Dante, Boussou
Yanga imekwenda sare ya bila kufungana dhidi ya Ndanda kwenye Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara katika mchezo mzuri ambao ladha yake ilipunguzwa na uwanja mbovu.
Habari kutoka ndani ya Yanga, Pluijm amewaeleza wachezaji wake kuchukizwa na sare hiyo.
“Lakini ameonyesha kutuamini, amesema lazima tubadili mambo na kushinda katika mechi zijazo,” alisema mmoja wa wachezaji.
Baada ya sare ya Ndanda, kauli ya Pluijm kwa wachezaji wake
Reviewed by Steve
on
Thursday, September 08, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, September 08, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment