Propellerads

Loic Remy wa Chelsea sasa kuelekea kwa mkopo klabu hii ya England



Chelsea watamruhusu mshambuliaji wao Loic Remy kujiunga na Crystal Palace kwa
mkopo mpaka msimu ujao imeripotiwa.

Sky Sports News wamedai kua Remy ameachiwa kuondoka Stamford Bridge baada ya Palace kufanikiwa kumnasa baada ya West Ham nao kuwahi kuonesha kuvutiwa nae.

Bosi wa Palace, Alan Pardew aliweka wazi baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Bournemouth Jumamosi kua kuna ujio wa mchezaji mwingine akiwaambia waandishi "Tunakaribia kuleta mwingine.

"Tunatarajia kupata zaidi na zaidi bado tuanaangalia kuleta wawili au watatu zaidi."
Loic Remy wa Chelsea sasa kuelekea kwa mkopo klabu hii ya England Loic Remy wa Chelsea sasa kuelekea kwa mkopo klabu hii ya England Reviewed by Steve on Monday, August 29, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.