Hii kali!!, masikhara yapigwa marufuku mazoezini Chelsea
Imedaiwa kwamba klabu ya Chelsea imepiga marufuku
masikhara ya aina yoyote mazoezini kwa sasa.
Msimu huu umeanaz vibaya kwa Chelsea kwa matokeo mabovu ya kushtukiza huku wakijikuta nafasi ya 17 baada ya kupoteza kwa 3-1 mbele ya Everton jumamosi iliyopita.
Gazeti la Daily Telegraph limedai kua utani kati ya wachezaji kwa sasa hauruhusiwi katika maeneo ya mazoezi, hii ni kutaka kuongeza umakini ili kuiweka klabu katika kiwango chake.
Chelsea wataanza kampeni yao klabu bingwa Ulaya dhidi ya Macabi Tel Aviv kesho jumatano.
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24
Hii kali!!, masikhara yapigwa marufuku mazoezini Chelsea
Reviewed by Steve
on
Tuesday, September 15, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, September 15, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment