Propellerads

Simba day imekupita !!, hapa kuna picha kadhaa




Timu ya Simba SC leo imeshinda kwa goli 1-0 mchezo wake wa kirafiki dhidi ya timu ya SC Villa ya
Uganda mchezo ulikuwa maalumu kwa ajili ya kusherekea siku ya Simba Day ambayo huadhimishwa Agosti 8 kila mwaka.

                                       







Goli la Simba limefungwa na Awadh Juma dakika za lala salama baada ya kutokea piga nikupige langoni mwa Villa ‘Jogoo’ hatimaye mpira kumkuta Awadh aliyeachia huti kali na kuipa timun yake.
Hapa nimeweka baadhi ya picha kama tukio hili lilikupita









ushindi wa jioni
Simba day imekupita !!, hapa kuna picha kadhaa Simba day imekupita !!, hapa kuna picha kadhaa Reviewed by Steve on Saturday, August 08, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.